King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Atume mwakilishi kama Wenzake Wenye majina Makubwa Duniani walivyotuma wawakilishi kwenye msiba wa Ruge,,....Kama Tulivyoona Lowassa,Kikwete ,Mengi walivyotuma wawakilishi wao kwenye msib wa RUGE.Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema
Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..
Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..
Mwisho wa siku atajiju..
AiseeDiamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.
Umaarufu una gharama zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi alianza private dogo kazingua.Halafu huyu mzee naye anatafuta kiki tu..
Kama diamond ni mdogo waka inamaanisha ana namba yake..kwa nini kitu sensitive hivi akipost insta badala ya kumcheki kwenye simu akamshauri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo kabisa kwanini asimpigie simu naye anatafuta sifa, kwani lazima watu wote waende msibani?Angefanya busara ya Kumpigia Simu,kuliko alichokifanya.....Post imekaa kiuchochezi Cuz hadi muda huu Diamond amekua kmy....aachwe tu then tumuangalia what next moments...
huu mfano wako hata haurelate kabisa. Tafuta mwingineHivi nyerere angeenda kwenye msiba wa idd amini (kama angekuwepo wakati wa kifo) watu mngemuelewa..
Saa nyingine tuache unafiki..
Kama ulikua unamdis marehem wakati wa uhai kwa nini umpende akifa??
Kwani diamond akienda ndio ruge anaenda mbinguni??
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa noma umeamua utapike direct[emoji23]Diamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.
Umaarufu una gharama zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo leo amenifanya nitambue, maana halisi ya usemi wa MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA MBWATA.
Sent using Jamii Forums mobile app