Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Ndiyo kabisa kwanini asimpigie simu naye anatafuta sifa, kwani lazima watu wote waende msibani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wapo waliompigia simu wakachoka ndio jamaa akaamua kujilipua.

Tena hii ni advantage kwake hata kama alikuwa na hofu hapo awali sasa anaweza kwenda kwa mgongo wa kumsikiliza Mpoto.
 
itakua na mama ako anamlala mpk akakumegea siri kubwa kama hii,au usikute na wewe anakulala ndo mana unajua siri zake.
Mkuu kuweni wenye busara wazazi wana ingiaje hapa why mnapenda kudhalilisha mama zetu.
 
Sometime hata kama una chuki na mtu angalia pia na maneno ya kuongea mkuu,,,afu si jambo jema hata kidogo kumdhalilisha mama wa mwenzio tena kwa kitu ambacho huna uhakika,umesikia tu kwa mtu ambaye naye amesikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mtu wa kumsamehe tu. Na hili tatizo la kuhukumu watu kwa maneno ya kuambiwa wanalo watanzania wengi.
 
Labda wapo waliompigia simu wakachoka ndio jamaa akaamua kujilipua.

Tena hii ni advantage kwake hata kama alikuwa na hofu hapo awali sasa anaweza kwenda kwa mgongo wa kumsikiliza Mpoto.
Hamna kitu kama hicho,tatizo watz tuna amini insta ndio kila kitu,umemkosa kwenye simu Mondi yupo Dar kwake unapajua,kwa nini usiende kumwambia.ili hata yeye mwenyewe akose sababu.Huu unafiki.
 
Kama ni MNAFIKI aende lkn kama mtu mlikosana hamkusameheana mkiwa hai kwenda kulialia kinafiki hata Mungu hapendi
Imeandikwa

23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,
Mathayo 5 :23

24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Mathayo 5 :24



Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMII ITAFARIJIKA SANA IKIMUONA KIJANA WETU MPENDWA akiitikia wito

JAMII yako kwa maana ya familia na ukoo wako WEWE

sio kila mtu anamfagilia marehemu

amekufa hapigi nyimbo ya diamond

vi employee vyake pale anavi raise ili avile nyama

watu wanalazimishwa kukubali madili ya laki mbili mbili

leo afe tuseme ni msiba wa kitaifa, kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…