Mrisho mpoto anataka tuvae viatu vyake kwenye msiba wa mkewe wakati yeye anatembea peku

Mrisho mpoto anataka tuvae viatu vyake kwenye msiba wa mkewe wakati yeye anatembea peku

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ina maana sisi maumivu yetu sio yake ila ya kwake ni ya kwetu.
IMG_1922.jpeg
 
Huu upumbavu wa kutaka kupewa pole mitandaoni ameutoa wapi?
Mbona yeye hakukuzwa na wazazi wake wakioomba pole za mitandaoni...
Alitakiwa kupiga kimya
Hayo matango ayale mwenyewe bila chumvi....
 
Mke wake amefariki amuenzi kwa kuvaa viatu. Anawezaje kutembea peku na uchafu wote ulioko chini. Ni masharti ya Uganda au ni nini.
 
Ila wa tz bna kuna Moja alisema nimejaribu kusikitika lakini wapi? All in all Mungu amtie nguvu Kwa kipindi hiki kigumu kwani naye ni binadamu🙏
Hata waliopoteza ndugu zao kwa kutekwa na kupigwa hatimaye kupotea kabisa walipata maumivu zaidi ya hayo maana walipata vifo vya kusababishiwa na serikali yake anayoishabikia na kuisifia ila asihuzunike na watz wenzie wanaoomboleza juu ya mauaji hayo.
 
Hii Iwe fundisho Kwa Machawa/ na Kifo Cha Mke wa Mrisho Mpoto - Ndio Sasa Watanzania Tumejua kwamba Mrisho Mpoto kichwani AMNAZO
 
Back
Top Bottom