Mrisho Mpoto nenda na wakati

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Juzi ijumaa Mpoto alinusurika kuporwa kiasi kikubwa cha pesa wakati akitoka bank ya CRDB Mbagala kwenda kigamboni kupitia kongowe
Kwa mujibu wa maelezo yake nwenyewe alikuwa anaenda kununua nyumba kigamboni lakini ghafla akiwa njiani baada ya kutoka bank alipigiwa Simu toka bank kuwa kuna majambazi wanamfuatilia na alimame hapo hapo alipo na atapata msaada wa polisi
Kweli alisimama na akapata msaada na majambazi wakasepa
My take: biashara ya kubeba cash kuwa kwenda kufanya mauziano ya vitu imepitwa na wakati na ni hatari siku hizi mnakubaliana bei mnaandikishiana mnaenda kumalizana bank
 
Namkubali mpoto coz amechagua kuwa vile....na anaamin kwa analolifanya....kuhusu kubeba hela kwa bznes no comment
 
Hao wabenki wamejuaje kama anafuatiliwa??

Michongo mingi ya majambazi ya hela huwa inaanzia bank,,,,itakuwa kulikuwa na dalili ya kudhulumiana ndio maana wale wa bank wakaamua bora waharibu ili wakose wote
 
Michongo mingi ya majambazi ya hela huwa inaanzia bank,,,,itakuwa kulikuwa na dalili ya kudhulumiana ndio maana wale wa bank wakaamua bora waharibu ili wakose wote

Au hata muuzaji/dalali, na inawezekana ndiye aliyemuhimiza Mjomba apeleke cash....ila hata kama angevamiwa na kuporwa sidhani kama jamii ingemsikitikia zaidi ya kumuona amejitakia.
 
Au hata muuzaji/dalali, na inawezekana ndiye aliyemuhimiza Mjomba apeleke cash....ila hata kama angevamiwa na kuporwa sidhani kama jamii ingemsikitikia zaidi ya kumuona amejitakia.

Akili za kuambiwa angechanganya za kwake lakini hata hivyo awashukuru bank na mkuu wa kituo cha polis I Kongowe kwa msaada wa haraka na escort
 
Tatizo linaweza kuwa ni muuzaji wa nyumba. Hataki mambo ya bank. Kuna wakati niliuza kijishamba changu. Mpemba alikataa katakata kufanya mauzo tukiwa Bank. Ilibidi kuchukua risk kupewa cash na kizikimbiza bank!
 
♥Pesa ikizidi milion 4 ni vema mkafanyia biashara bank kama muuzaji hana account ni bora mnunuzi amshauri afungue acc ili mtonyo upite huko thru TISS au Bank Tranfer nyingine.
♥Watu wa Bank ni hatari sana kupanga issue na majambazi pia hata muuzaji/dalali naye anaweza kuhusika kufanya dili na majambazi.
♥Mie wakati nanunua plots nilimwambia dalali kwamba anisubiri kongowe maana nipo NBC mbagala na draw hela kumbe nishadraw hela Posta nikachukua tax posta nikavuka nayo ferry nampigia simu nipo kwenye kiwanja aje alivyofika dalali akaniambia aisee mjanja sana ndio inavyotakiwa hivyo,ila hiyo zamani 2011 na nilikuwa 8.5m.
 
Tatizo linaweza kuwa ni muuzaji wa nyumba. Hataki mambo ya bank. Kuna wakati niliuza kijishamba changu. Mpemba alikataa katakata kufanya mauzo tukiwa Bank. Ilibidi kuchukua risk kupewa cash na kizikimbiza bank!

Jamaa utadhani wana allergy na bank hawapapendi kabisa pale pahala pengine elimu pia inachangia
 
Michongo mingi ya majambazi ya hela huwa inaanzia bank,,,,itakuwa kulikuwa na dalili ya kudhulumiana ndio maana wale wa bank wakaamua bora waharibu ili wakose wote

Absolutely Right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…