Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Juzi ijumaa Mpoto alinusurika kuporwa kiasi kikubwa cha pesa wakati akitoka bank ya CRDB Mbagala kwenda kigamboni kupitia kongowe
Kwa mujibu wa maelezo yake nwenyewe alikuwa anaenda kununua nyumba kigamboni lakini ghafla akiwa njiani baada ya kutoka bank alipigiwa Simu toka bank kuwa kuna majambazi wanamfuatilia na alimame hapo hapo alipo na atapata msaada wa polisi
Kweli alisimama na akapata msaada na majambazi wakasepa
My take: biashara ya kubeba cash kuwa kwenda kufanya mauziano ya vitu imepitwa na wakati na ni hatari siku hizi mnakubaliana bei mnaandikishiana mnaenda kumalizana bank