Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida


Your browser is not able to display this video.
 
amiri jeshi mkuu ni nani

jamaa anazidi jionesha alivyo mpumbavu kwa kudhani anatetea kumbe ana mkaanga raisi

inawezekana raisi nae akahisi kweli sio jukumu lake akaacha tuendelee kupotea
 
Nchi hii ina mijitu misenge sana. Yaani hajui uhusiano wa vyombo vya usalama na mamlaka ya Rais. Sasa naelewa kwa nini wananchi walifurahi sana alipofiwa na hawala wake.
 
Mbona likija suala la amani ambalo nalo la kiusalama utasikia rais kadumisha amani? Kwa mantiki hii ya Mlisho Mpoto basi masuala mengi Rais hapaswi kupewa sifa ikiwemo uchumi, afya, ulinzi, miundombinu n.k.
 
Takataka unamuita darasa la saba aongelee technical issues of law! Rubbish!
 
dah hadi huruma huyu ndiyo mpoto dah inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…