Twende specific... Task Force za ujambazi zimeanza wakati wa Mkapa. Ujambazi kuwa mwingi wakati wa Mkapa ulikuwa na sababu, kulikuwa na wakimbizi karibu 1mil na silaha nzito... sisi tulikuwa tunakaa nyanda za juu kusini tunaelewa. Lakini msingi wa Task Force ulianza na Mkapa. Wakati Kasusula anakatwa 2001, alikamatwa na Task Force huko Mbeya.Ujambazi ubungo wa kuteka gari la nmb ilikua mwaka gani?.. defender hazikuja kutokana na ujambazi,task force aliunda jakaya na ikamaliza tatizo la ujambazi sugu
Kubenea tindikali alimwagiwa na mwanasiasa wa arusha aliyeutaka urais kwa udi na uvumba, jakaya alimtibu kubenea akamsihi na wenzie wasiwachokoze waliowamwagia tindikali, maana kubenea na mwana halisi lake ilikua kuwaandika usiku na mchana
Ulimboka alichofanyiwa alistahiki,labda kama ndugu yako hakufa hospital kwa mgomo wa madaktari
Akili iko peku kama miguu yake!Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe
Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida
Ujambazi ulikubuhu kipindi cha mkapa ikisemwa kuna mkuu wa chombo cha ulinzi na usalama akihusika,kasusura hakuhitaji task force bali issue kama ya ubungo ndizo zikihitaji task force,na epicenter ya ujambazi ilikua kahama na hapo task force waliweka kituoTwende specific... Task Force za ujambazi zimeanza wakati wa Mkapa. Ujambazi kuwa mwingi wakati wa Mkapa ulikuwa na sababu, kulikuwa na wakimbizi karibu 1mil na silaha nzito... sisi tulikuwa tunakaa nyanda za juu kusini tunaelewa. Lakini msingi wa Task Force ulianza na Mkapa. Wakati Kasusula anakatwa 2001, alikamatwa na Task Force huko Mbeya.
Either way... huwezi kumfananisha Mkapa na hawa waliofuatia kuhusu utendaji.
Kasusura hakuhitaji task force? Mtu kaiba 2mil usd na ni mlinzi unadhani wangeenda kimchezo. Anyways, task force zilianza na Mkapa, Kikwete alileta polisi jamiiUjambazi ulikubuhu kipindi cha mkapa ikisemwa kuna mkuu wa chombo cha ulinzi na usalama akihusika,kasusura hakuhitaji task force bali issue kama ya ubungo ndizo zikihitaji task force,na epicenter ya ujambazi ilikua kahama na hapo task force waliweka kituo
Mkapa hakuwa na uhodari wowote wa utendaji,labda ufisadi
Sasa isolated case ya kasusura uunde task force,cid inafanya nini!?Kasusura hakuhitaji task force? Mtu kaiba 2mil usd na ni mlinzi unadhani wangeenda kimchezo. Anyways, task force zilianza na Mkapa, Kikwete alileta polisi jamii
Bwashee huyo ni green card mwenzio na chawa wa mama, itapendeza ukimuulizaAliishia la ngapi huyo? 😂😂✔️
Huyu kutwa utamkuta hapo gateway kijichiNchi imejaa watu maradufu wajingaaa wanaotafuta utajiri kwakulamba viatu watu waovu na wachafu
Darasa la 7 la zamani ni equivalent ya degree ya kwanza ya gen zAliishia la ngapi huyo? 😂😂✔️