Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Uyu Mungu alisha mkataa ,na amemkataa kweli , subiri siku moja atwaliwe kama watu hawataenda choma nyama juu ya kaburi lake , asema Bwana , yaliyomtekea juu ya kifo cha mke wake hajakoma ? Apunguze kamdomo
Huenda kana mlipa aache akakule wapi?
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Domo hilo la Harisho Poto ni kielelezo tosha cha kubwa jinga
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Kweli akili ni nywele, angalia kichwani kwa mpoto
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Huyu kumbe poyoyo kweli. Mkuu wa Vyombo vya Ulizni na Usalama ni nani nje na Rais wa nchi? Rais ndiye Amiri Jeshi Mkuu. rais anapaaswa kutuhakikishia usalama wetu sisi raia.
 
Ulikuwa na umri gani wakati wa Mkapa? Unazijua Land Rover Defender Pickup nyeupe TZR aka Farasi Mweupe? Zilikuwa wakati wa nani

Either way... mambo haya ya kishenzi yalianza na JK kutekwa kwa Ulimboka na kumwagiwa acid kwa Kubenea.... Magufuli akazidisha, tukajua kaja mama yataisha, ndio kwanza yanaongezeka. Magufuli na Samia ndio wamekuja kuchochea hivi vitu, wana haki ya kusakamwa!
Ujambazi ubungo wa kuteka gari la nmb ilikua mwaka gani?.. defender hazikuja kutokana na ujambazi,task force aliunda jakaya na ikamaliza tatizo la ujambazi sugu
Kubenea tindikali alimwagiwa na mwanasiasa wa arusha aliyeutaka urais kwa udi na uvumba, jakaya alimtibu kubenea akamsihi na wenzie wasiwachokoze waliowamwagia tindikali, maana kubenea na mwana halisi lake ilikua kuwaandika usiku na mchana
Ulimboka alichofanyiwa alistahiki,labda kama ndugu yako hakufa hospital kwa mgomo wa madaktari
 
amiri jeshi mkuu ni nani

jamaa anazidi jionesha alivyo mpumbavu kwa kudhani anatetea kumbe ana mkaanga raisi

inawezekana raisi nae akahisi kweli sio jukumu lake akaacha tuendelee kupotea
Akapitia Katiba na aelewe majukumu na kazi za Mkuu wa Nchi.
 
Kutovaa viatu+ kuvaa masempele= zero brain.

Rais ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.

Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama vinawajibika kwake kwa niaba ya wananchi wote.

Rais ndiye anayeteua na kutengua Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Rais ameapa kulilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa Taifa na watu wake wote pamoja na mali zao wako salama.

Issue za kiutekaji na mauaji ni za kiusalama ndiyo, Je matukio hayo yanapoendelea tena na tena na vyombo vya Usalama vipo, tunayetakiwa kumwambia na kumnyoshea kidole ni Rais au vyombo??

Mrsho Mpoto acha dharau, wewe kama ni mnufaika wa Kodi zetu, endelea kutafuna lakini acha kupotosha humu.

Na nyie mnaowatuma watu wa aina hii kuja kutoa majibu ya malalamiko ya wananchi kutokana na yanayoendelea, kama hamuwezi.kuja wenyewe, basi kaeni kimya hivyo hivyo.mtasababisha mnaowatuma wanuke kwenye jamii.
 
Hivi huyu mtu ana akili kweli?? Anataka atukanwe tena?? 100 -60 ya mke wake hata haijapita yeye anatoabushuuzi wa wa kuijenga serikali, 🤔🤔🤔
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

sijawah kuona jitu jinga kama hili toka dunia iumbwe mpaka leo....yan hajui hayo ya kutekwa yana multiplication effect kwa vitu anavyosema? haliwez hata kurelate mambo au my connect dots...Eti ni swala la ulinzi na halimuhusu samia, anajua IGP anachaguliwa na nani ? Tumbo lake limejaa mavi
 
Back
Top Bottom