Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Duuuu!!!! Ndio nimemjua hata hajajibu anachoulizwa yeye anaongelea umeme eti tutauza na wakati tunataka ya somalia
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Wakati anandika ...sizonje alikuwa mtu mtu
 
Taifa Zima inatakiwa kipaumbele chetu kiwe elimu...watu wasome wapate maarifa...sio kwa kiwango Cha ujinga kama hiki....so shame!, kuna wengine hawapaswi kuulizwa maswali nyeti ya kiinchi...maana hawana majibu kabisa na hawana uelewa na hayo mambo
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Akitukanwa tena yeye na marehemu mkewe atalalamika.
 
Takataka unamuita darasa la saba aongelee technical issues of law! Rubbish!
Hata rais mwenyewe hajitambui anazungumza ugoro mtupu! Acheni niitwe mbaguzi wa jinsia ila wanawake wana shida sana kwenye suala la uongozi

Britanicca
 
Kama hizi ndio akili anazotumia kuvukia barabara huko Dar es Salaam basi madereva wa huko wanapaswa kuheshimiwa sana.​
 
Huyu hawezi kushindwa kuwa swala la kuwalisha watoto,ada, na kodi ni la mume wa jirani ambae anamla mke wa mtu,baba wa familia kwanini ahusishwe?

Yaani na ujinga wake hajui hao wanaofanya hayo majukumu wanajibu kwa raisi na anawajibu wa kuwahoji na kuwapa amri ya kuacha endapo wanakwenda kinyume.
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Hajui kuwa Amiri Jeshi Mkuu ni nafasi isiyokaimiwa
 
Yeye Mpoto nyumbani kwake watu wa nyumbani mwake wakianza kupotea nani ataanza kuulizwa na kulaumiwa.ajifunze kuongea pia asisahau kilichompata alipofiwa na mkewe inaonekana uchawa umemlevya kiasi cha kwamba anasahau haraka.
 
Uchawa janga la taifa

Ova
 
Tikiti Poti!
Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe

Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida

Bongo ndonchi inayoongoza Kwa watu wajinga kuwa maradufu duniani.
Ndomana viongozi nao wako Hivyo!!
 
Duh huyu mzee hajajifunza tu? Ni ngumu sana kumtetea next time

Full stop,kwishaaaaaa
 
Hawa watu siku nyingi wataanza kupigwa mawe mtaani.

Maana wanawaona watu wapunguani.
 
Tofauti na mnavomkomalia,mnaonekana kabisa man lenu jambo,mbona ujambazi hamkumlaumu mkapa,mauaji ya albino hamkumlaumu kikwete!?
Mkapa alisakamwa na mauaji ya Bulyankulu, hata ujambazi wakati wake ndio walianzisha kikosi maalum cha kupambana na ujambazi lakini hakukuwa na huu ujinga wa kupotezana.
 
Hawa watu wa hovyo ndio wanawashabikia viongozi wetu na wao wanaona Sawa tu
 
Back
Top Bottom