Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Wewe mbwa Mpoto, hujui unachoongea pumbavu wewe. Hujui kuwa Samia ndiyo kiongozi wa nchi? Watu wanapotea na kutekwa na TISS, Wewe unaongea utumbo.....Huna akili wewe pumbavu. Samia kama rais anapaswa atulinde watanzania. Pumbavu wewe, watu wanatekana wapi kichwa maji wewe? Ali Kibao alijiteka?, Sativa alijiteka? Roma Mkatoliki alijiteka wewe mat*ko? Na hao wengine wote wanaotekwa mchana na watu wenye bunduki za kijeshi katikati ya Dar na mikoani? Hao ni akina nani......wewe ni mjinga usiye na akili, watu wanaumizwa, akina Lissu hadi leo ni vilema, unajua kabisa kilichotokea mwehu wewe. Unajipendekeza ovyo, tulikuonea huruma wakati mkeo alivyokufa, afadhali ungekufa wewe mchwa....Usiyejua wajibu wa rais ni nini paka wewe.Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe
Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida