antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kubishana na machawa jinga kama hilo Mrisho Mpoto ni kupoteza mudaAkizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe
Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida