Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Hapo anaogopa kutekwa tu
 
Bwege hili
 
Jamaa ni Bure kabisa uyo nimemsikia sehemu anasema kuwa tulikuwa tunanunua umeme Namibia, Sijui wapi nkaacha Kumsikiliza
 

Paskali kulamba teuzi ni hadi kufika level hizi.
 
Katoa boko lingine! CCM sijui huwa inawafanya wafuasi wake kichwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…