Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo sina ushahidi wa moja lakini ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa yupo nchini kibiashara zaidi ili kuona kama anaweza kupata 'kitu chochote' ndani ya masaa haya machache kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichonacho ni mahaba kwa timu yake ya Yanga ambao ni mabingwa mara 3 mfululizoHivi huyu mhenga kuna alichonacho kwa manufaa ya Dar Young Africans... kweli!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama akisaini! Litakuwa jambo la kheri sana! Angalau apunguze pengo la Msuva
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngassa yule wa zamani sio wa sasa limebaki jina tu...
Yale majeraha ya mguu aliyopata wakati fulani hapo nyuma yalitibua kabisa kiwango chake...
Hili ndilo lililofanyika kumpa heshima ya kustaafia soka nyumbani... Good idea!Ahsante Yanga kwa uamuzi wa busara, karbu Ngasa ustaafie nyumbani.
Kiasi fulani mkuu Ngasa anaweza kutusaidia upande wa winga wa kulia! Ngoja jamaa aje amalizie mpira wake Yanga!Ngassa yule wa zamani sio wa sasa limebaki jina tu...
Yale majeraha ya mguu aliyopata wakati fulani hapo nyuma yalitibua kabisa kiwango chake...
Kiasi fulani mkuu Ngasa anaweza kutusaidia upande wa winga wa kulia! Ngoja jamaa aje amalizie mpira wake Yanga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaseke aligomea dau alilopewa na alionekana kama hataki kubaki Yanga!Sasa si bora tungebaki na Kaseke tu...
Vipi Mkuu, naye kasaini?Himid Mao!Himid Mao!Himid Mao!.....
Uwiiii usinifanye niwe na shauku ya kutaka hili litokee........mungu ibariki yanga...Himid Mao!Himid Mao!Himid Mao!.....
Ongeza na Mwanjali na NiyoNgasa ni muhenga na wahenga wenzie ni Erasto Nyoni,Shomari Kapombe, Okwi na Bocco.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani msaada mkubwa zaidi anaoweza kuutoa na huenda ndiyo sababu ya (kutaka) kusajiliwa ni kuchochea na kuchagiza ushindani kwa viungo washambuliaji kama Juma Mahadhi, Emmanuel Martin, Mateo Simon, Obrey Chirwa n.k ili kupata aliye bora kupita wote - hata kama si yeye Ngasa. Kadhalika kusaidia pale mechi inapohitaji uzoefu zaidi kuliko uwezo. Kitaalamu ni uamuzi wa kimkakati (strategic decision). Wanaodhani vinginevyo ni kwa sababu wako vinginevyo.Kiasi fulani mkuu Ngasa anaweza kutusaidia upande wa winga wa kulia! Ngoja jamaa aje amalizie mpira wake Yanga!
Sent using Jamii Forums mobile app