Mrisho Ngasa kumwaga wino punde mwaka 1 Jangwani

Mrisho Ngasa kumwaga wino punde mwaka 1 Jangwani

Ngasa mkimrudisha dar mtamharibu yule ana demu krb kila mtaa huon kakiuno kamekuwa km. Nyigu sababu ya kupamp

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Kiasi fulani mkuu Ngasa anaweza kutusaidia upande wa winga wa kulia! Ngoja jamaa aje amalizie mpira wake Yanga!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani msaada mkubwa zaidi anaoweza kuutoa na huenda ndiyo sababu ya (kutaka) kusajiliwa ni kuchochea na kuchagiza ushindani kwa viungo washambuliaji kama Juma Mahadhi, Emmanuel Martin, Mateo Simon, Obrey Chirwa n.k ili kupata aliye bora kupita wote - hata kama si yeye Ngasa. Kadhalika kusaidia pale mechi inapohitaji uzoefu zaidi kuliko uwezo. Kitaalamu ni uamuzi wa kimkakati (strategic decision). Wanaodhani vinginevyo ni kwa sababu wako vinginevyo.
 
Back
Top Bottom