Mkuu huyo alikuwa akikipiga huko Omani na wabongo wengine, wale wa South alivunja muda ndio akeelekea kule Omani.Hatimayr yule winga wa zamani wa timu ya Dar es salaam Young africa aliyekuwa akikipiga nchini south Africa amejiunga rasmi na timu ya mbeya city hivyo tegemea kumuona ktk mzunguko wa pili hii ni baada ya kuvunja mkataba na timu yake ya Freestate ya nchini Afrika kusini
Kale kafegi cha meru na vile vitu tunavyopewa na babu tuingie navyo kwenye mechi hata kama hatujafanya mazoezi ili tushinde na tuwapige misumari wenzetu.Wachezaji wa kibongo kama wamerogwa vile, sijui nje wanakosa nini,
Msengerema ni aliyeleta hii post au wewe unayepingana na ukweli?Kuna watu ni wasengerema sana... Ngassa yupo arabuni Muda mrefu... Yupo na Maguri.... Jitu limekurupuka tu.... Ovyo kabisa
Msengerema ni wewe unayekubali Ngassa katoka Free State na kwenda Mbeya city Bila kukumbuka ameenda uarabuni... Wewe na Msengerema mwenzako mngesema ametoka FANJA FC kwenda Mbeya city... RUDI katawaze usikurupukeMsengerema ni aliyeleta hii post au wewe unayepingana na ukweli?