Mrisho Ngassa ajiunga na Mbeya City

Mrisho Ngassa ajiunga na Mbeya City

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Hatimayr yule winga wa zamani wa timu ya Dar es salaam Young africa aliyekuwa akikipiga nchini south Africa amejiunga rasmi na timu ya mbeya city hivyo tegemea kumuona ktk mzunguko wa pili hii ni baada ya kuvunja mkataba na timu yake ya Freestate ya nchini Afrika kusini
 
Ama kweli Ng'ombe wa masikini hazai.

Wakitoka tu wanarudi pabaya zaidi.
 
Hatimayr yule winga wa zamani wa timu ya Dar es salaam Young africa aliyekuwa akikipiga nchini south Africa amejiunga rasmi na timu ya mbeya city hivyo tegemea kumuona ktk mzunguko wa pili hii ni baada ya kuvunja mkataba na timu yake ya Freestate ya nchini Afrika kusini
Mkuu huyo alikuwa akikipiga huko Omani na wabongo wengine, wale wa South alivunja muda ndio akeelekea kule Omani.
 
Wachezaji wa kibongo kama wamerogwa vile, sijui nje wanakosa nini,
Kale kafegi cha meru na vile vitu tunavyopewa na babu tuingie navyo kwenye mechi hata kama hatujafanya mazoezi ili tushinde na tuwapige misumari wenzetu.
 
Kuna watu ni wasengerema sana... Ngassa yupo arabuni Muda mrefu... Yupo na Maguri.... Jitu limekurupuka tu.... Ovyo kabisa
 
Ni kweli kabisa Mbeya City wamekalisha usajili wa Ngassa na aliye fanikisha hili deal ni yule kocha mnyasa Kinna Phiri
 
Ngassa-Mbeya-City.jpg


kwenye picha hapo ni Ngassa akiwa na afisa habari wa Mbeya City jana jioni,
 
We kama ni muandishi wa habari jiandae muswada ushatiwa saini
 
Msengerema ni aliyeleta hii post au wewe unayepingana na ukweli?
Msengerema ni wewe unayekubali Ngassa katoka Free State na kwenda Mbeya city Bila kukumbuka ameenda uarabuni... Wewe na Msengerema mwenzako mngesema ametoka FANJA FC kwenda Mbeya city... RUDI katawaze usikurupuke
 

Attachments

  • Screenshot_2016-11-30-18-34-41.png
    Screenshot_2016-11-30-18-34-41.png
    48.1 KB · Views: 42
Back
Top Bottom