mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
Hatimayr yule winga wa zamani wa timu ya Dar es salaam Young africa aliyekuwa akikipiga nchini south Africa amejiunga rasmi na timu ya mbeya city hivyo tegemea kumuona ktk mzunguko wa pili hii ni baada ya kuvunja mkataba na timu yake ya Freestate ya nchini Afrika kusini