mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilipobold hapo maana yake ni sawa na neno kuweka au?
Ndio.!Hakwenda na timu ya Taifa sababu ya matatizo ya kifamlia, Je?? Hayo ndo matatizo ya kifamilia?
Hakwenda na timu ya Taifa sababu ya matatizo ya kifamlia, Je?? Hayo ndo matatizo ya kifamilia?
du huyu wa ngapi sasa?halafu hata hakajui kabisa,niliiona video yaani demu alikuwa bomba.
du huyu wa ngapi sasa?halafu hata hakajui kabisa,niliiona video yaani demu alikuwa bomba.
Unavyotaka wewe sio anavyotaka yule demu angetaka vingine angemuambia mapenzi hayana fomula maalum
Hamna kitu pale kwa mrisho Ngasa,demu anapiga story kabisa,katikati ya matchUnavyotaka wewe sio anavyotaka yule demu angetaka vingine angemuambia mapenzi hayana fomula maalum