Mrisho Ngassa anaoa sasa hivi hapa Bunju beach

Mrisho Ngassa anaoa sasa hivi hapa Bunju beach

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Si utani amejaliwa kuwatafuna na kuwatema kama Diamond, tupo kwenye sherehe hapa magorofani Bunju nyuma ya Moga, Ngasa anaoa mwingine sijui wa ngapi huyu. Siweki picha maana mwenye nyumba namhifadhi.

1ngassa.jpg
Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa.

2ngassa2.jpg
 
sasa mbona anatukanwa daimond peke yake, kumbe hata ngasa huwapangaga???
 
Hakwenda na timu ya Taifa sababu ya matatizo ya kifamlia, Je?? Hayo ndo matatizo ya kifamilia?
 
Halafu wanasemaga tendo la ndoa linashusha kiwango cha mchezajii kama lishe ndogo eee?
 
Hakwenda na timu ya Taifa sababu ya matatizo ya kifamlia, Je?? Hayo ndo matatizo ya kifamilia?

sasa hivi amekabiziwa mke ajinome kama kawa mzee wakuwalamba wapo na viroba vimeandikwa signal
 
du huyu wa ngapi sasa?halafu hata hakajui kabisa,niliiona video yaani demu alikuwa bomba.
 
Kumbe yanga walitoa magari cha ajabu mbwembwe zote hizo magari ya yanga yamechakaa kinoma.
 
Weka picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
du huyu wa ngapi sasa?halafu hata hakajui kabisa,niliiona video yaani demu alikuwa bomba.

Unavyotaka wewe sio anavyotaka yule demu angetaka vingine angemuambia mapenzi hayana fomula maalum
 
Unavyotaka wewe sio anavyotaka yule demu angetaka vingine angemuambia mapenzi hayana fomula maalum

nikweli akajui kanaitania, viroba vya signal vilitawala sherehe wala shehe akujari
 
Back
Top Bottom