So pia kuwa strategy ya kumbana mchezaji asiwakimbie??
Nashangaa hapa kwetu naonaga wanapewa miaka 2 au mwaka tu basi, ndo maana nikashangaa hiyo miaka 4 ya Ngassa
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
acha kukurupuka mkuu, vimstari viwili tu unashindwa kuelewa je ingekuwa kurasa nzima ingekuwaje? pia nikuulize wewe unaweza kufanya kazi kwa mshahara wa dola 8 kwa mwezi?Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
Hasheem yupo D leage;leo wamepost dunk flan hiv amaizing ni noma.
Hongera Ngassa. Ila 80,000 labda ni Rands (siyo $)
Hongera Ngassa. Ila 80,000 labda ni Rands (siyo $)
ata mimi nilishtuka kidogo mkuuLabda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
Stering analipwa $ 200,000
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!