Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mkuu kwa wenzetu mchezo wa soka ukiacha kutoa burudani pia ni biashara...
Hapo labda kamati ya ufundi ilishapiga hesabu zake za namna ya kumfanya Ngassa awe mchezaji mzuri zaidi ya alivyo...
Kwa mantiki hiyo lazima wampige kitanzi ili mpango ukifanikiwa isijekuwa wamewatengenezea mchezaji mzuri timu nyingine

So pia kuwa strategy ya kumbana mchezaji asiwakimbie??
Nashangaa hapa kwetu naonaga wanapewa miaka 2 au mwaka tu basi, ndo maana nikashangaa hiyo miaka 4 ya Ngassa