Mrisho Ngassa atua rasmi Free State Afrika Kusini

Mrisho Ngassa atua rasmi Free State Afrika Kusini

Mkuu kwa wenzetu mchezo wa soka ukiacha kutoa burudani pia ni biashara...

Hapo labda kamati ya ufundi ilishapiga hesabu zake za namna ya kumfanya Ngassa awe mchezaji mzuri zaidi ya alivyo...

Kwa mantiki hiyo lazima wampige kitanzi ili mpango ukifanikiwa isijekuwa wamewatengenezea mchezaji mzuri timu nyingine

So pia kuwa strategy ya kumbana mchezaji asiwakimbie??

Nashangaa hapa kwetu naonaga wanapewa miaka 2 au mwaka tu basi, ndo maana nikashangaa hiyo miaka 4 ya Ngassa
 
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
 
Akakomae sasa,asibweteke kwan Mungu hufanya njia kwa namna yake,Hiyo ni njia tu tunataka baadae tumuone anacheza ulaya huko
 
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo

We naye!!! muwe mnasoma vizuri kabla ya kukurupuka, wapi amesema kuwa atakuwa analipwa$80,000/ kwa mwezi???kama mshahara? hiyo ni signing fee, dolar 5600,ndio mshahara kwa mwezi.
 
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo
acha kukurupuka mkuu, vimstari viwili tu unashindwa kuelewa je ingekuwa kurasa nzima ingekuwaje? pia nikuulize wewe unaweza kufanya kazi kwa mshahara wa dola 8 kwa mwezi?
 
naomba mungu asikutane na maxenophobia yasijekutuulia mchezaji wa taifa letu
 
Hongera Ngassa. Ila 80,000 labda ni Rands (siyo $)
 
Hongera Ngassa. Ila 80,000 labda ni Rands (siyo $)

Ni $, wabongo tunadharau sana vya kwetu, kama yanga walimtupa watahate sana kuokotwa bure na wanaojua thamani yake. Kamua ngasa.
 
Labda $8.000 kwa mwezi $80.000 hata Stering wa Liverpool halipwi hizo

Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!
 
Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!

Hiyo ni signing fee kwa sababu ni free agent.

mshahara ndo hizo dola 5600 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom