Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!

Ni $, wabongo tunadharau sana vya kwetu, kama yanga walimtupa watahate sana kuokotwa bure na wanaojua thamani yake. Kamua ngasa.
Hasheem yupo D leage;leo wamepost dunk flan hiv amaizing ni noma.
Stering analipwa $ 200,000
kumbe wamempa mkataba wa muda mrefu hivi!!! Hii imekaaje kisoka wakuu
cc Makoye Matale, mkolaj, Watu8 n.k
Mkataba huo una manufaa pia kwa Ngassa mwenyewe maana ana uhakika wa kuishi huko Bondeni kwa miaka minne ijayo, wakitaka kum-sserunku-manize inabidi wakubaliane malipo ya kuvunja mkataba.
Lakini pia na yeye Ngassa kama ataboreka kuishi huko Bondeni akatamani kuja Bongo kwa kutumia Jaja-ism au Boban-ism naye inabidi abonyee mfukoni kufidia madhara ya yeye kuondoka ndani ya hiyo miaka minne.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu
Hivi kumbe mkataba wake na yanga ulikuwa umekwisha? manake nasikia kaondoka free timu haijanufaika cho chote
Tunaamini Ngasa utakuwa balozi mzuri kwa wachezaji wengine wa Kitanzania,kila la heri Mrisho
Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!
Hili dili la Ngassa kwenda huko Bondeni lilianza mwaka jana, Free State FC walitoa offer ya USD 80,000 lakini Yanga walitaka wapewe USD 150,000 hivyo dili likashindikana. Yanga waliwashauri wasubiri Ngassa amalize mkataba wake ndipo wamsajili jambo ambalo Free State FC wamelitekeleza.
Yanga haijapata hata senti 1.