Mrisho Ngassa atua rasmi Free State Afrika Kusini

Mrisho Ngassa atua rasmi Free State Afrika Kusini

Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!

lazima ukatae maana hata kuandika vizuri hujui, hayo maandishi machache tu yanakuchanganya unakurupuka tu kuelezea kitu ambacho hujakielewa.
 
Tunaamini Ngasa utakuwa balozi mzuri kwa wachezaji wengine wa Kitanzania,kila la heri Mrisho
 
Kuna haja ya viongozi wetu kubadilika kifikra. Kama viongozi wa yanga wangekuwa makini wangemuuza ngasa msimu uliopita na wangetumia pesa hiyo kuzalisha ngasa wengine 5. Hivyo wawe makini wasimbanie msuva otherwise itakula kwao tena. Na huyo msemaji wa yanga nina wasiwasi naye kuhusu uelewa wake wa mpira wa miguu. Wakati anahojiwa redioni nilimsikia akisema eti watamshawishi msuva abaki kwani ligi ya afrika kusini ni sawa na ya bongo. Asilinganishe mbingu na ardhi ni vitu viwili tofauti
 
Watanzania washamba sana sisi..hiyo $80,000 ni mshahara wake wa kiaka mitatu ..yaani alipwe hizo kwa mwezi nakataa kanisa!

Mshamba wewe usiyejua hata kusoma maneno machache je ukipewa ripoti utaisoma wewe?
 
Duuh sema pale kwenye kutimiza miaka 26 Ngassa kajiongeza hahahah wachezaji wetu wa kiAfrika ndivyo tulivyo lakni.
 
Ni $, wabongo tunadharau sana vya kwetu, kama yanga walimtupa watahate sana kuokotwa bure na wanaojua thamani yake. Kamua ngasa.

Msijipendekeze....hatujutii ngassa kuondoka yanga bure....
 
kumbe wamempa mkataba wa muda mrefu hivi!!! Hii imekaaje kisoka wakuu

cc Makoye Matale, mkolaj, Watu8 n.k

Mkataba huo una manufaa pia kwa Ngassa mwenyewe maana ana uhakika wa kuishi huko Bondeni kwa miaka minne ijayo, wakitaka kum-sserunku-manize inabidi wakubaliane malipo ya kuvunja mkataba.

Lakini pia na yeye Ngassa kama ataboreka kuishi huko Bondeni akatamani kuja Bongo kwa kutumia Jaja-ism au Boban-ism naye inabidi abonyee mfukoni kufidia madhara ya yeye kuondoka ndani ya hiyo miaka minne.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu

Hivi kumbe mkataba wake na yanga ulikuwa umekwisha? manake nasikia kaondoka free timu haijanufaika cho chote
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu

Hivi kumbe mkataba wake na yanga ulikuwa umekwisha? manake nasikia kaondoka free timu haijanufaika cho chote

Hili dili la Ngassa kwenda huko Bondeni lilianza mwaka jana, Free State FC walitoa offer ya USD 80,000 lakini Yanga walitaka wapewe USD 150,000 hivyo dili likashindikana. Yanga waliwashauri wasubiri Ngassa amalize mkataba wake ndipo wamsajili jambo ambalo Free State FC wamelitekeleza.

Yanga haijapata hata senti 1.
 
Achunge sana, Waafrika Kusini wanauwa Waafrika wenzao kwa sababu tu eti wanachukuwa ajira zao.
 
Hili dili la Ngassa kwenda huko Bondeni lilianza mwaka jana, Free State FC walitoa offer ya USD 80,000 lakini Yanga walitaka wapewe USD 150,000 hivyo dili likashindikana. Yanga waliwashauri wasubiri Ngassa amalize mkataba wake ndipo wamsajili jambo ambalo Free State FC wamelitekeleza.

Yanga haijapata hata senti 1.

Hivi kwa kukataa ile dola miaka ile je kubaki kwake ilijilipa au
 
Back
Top Bottom