Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

Haina shida kabisa
 
Picha
 
Mkuu hutaki aongee na wazazi wake?
 
HIYO NI DHARAU KUBWA SANA KAIONESHA.

HATA KAMA HAKUWAFURAHIA BADI ANGEVUNGA TU KUWAANGALIA KULIKO KUWAONESHA DHARAU KIASI HICHO.

WATU WANAKUCHEZEA WEWE HALAFU WEWE UPO BIZE NA SIMU HIYO NI DHARAU AACHE HIYO DHARAU
 
Mswahili ameshatia timu na assumptions zake.
 
Wivu tu.
 
.......swali chokonozi....kwani bado yule jamaa wa kitaa chao masaki bado anakuna ??πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ka ushahidi mkuu
 
Tungeshangaa sana kama post hii ingeandikwa na mwanaume mwenzetu.

Kwa kuwa ni wa kike basi umbea si ajabu ndo maana hana ushahidi wowote hata picha
 
Huo umbea sasa,kwamba asitumie simu yake anavunja itifaki?

Hivi huyo mama ana undugu na marehemu Method moggela(kilaka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…