Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani badala ya kufuatilia yanayorndelea yeyeanaangalia simuNa wewe chukua simu yako uwe Bize. Acha umbeya utafikiri una leseni ya kupiga umbeya.
Ahahahahaha! Kwahiyo Trump anayetwit kila mara mwehu?Nafikiri ni hulka/tabia za/ya mtu au watu au jamii. Kwa level ya mke wa rais haipendezi hata kuibeba hiyo simu ndio maana wanaajiriwa wasaidizi.
Tusipende kujudge Kila pumzi ya watuWapendwa habari?
Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba.
Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake.
Kilichonishangaza ni kuona mara nyingi Mke wa Mh. Raisi akiwa busy na Simu.
Watu wa protocol naomba kuuliza, Je hili linaruhusiwa?.