Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

Wapendwa habari?

Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba.

Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake.

Kilichonishangaza ni kuona mara nyingi Mke wa Mh. Raisi akiwa busy na Simu.

Watu wa protocol naomba kuuliza, Je hili linaruhusiwa?.
Tusipende kujudge Kila pumzi ya watu
 
Back
Top Bottom