Mrusi ame update drone za Iran kamikaze

Mrusi ame update drone za Iran kamikaze

Someni hapo
Screenshot_20221106-075854_Chrome.jpg
 
Hizo drone zinapigwa chini daily hazisikiki tena umeme maji vipo kyiv kama kawaida
Screenshot_20221106-075427_Chrome.jpg
 
Mwanzilishi ni urusi
KAMIKAZE ni jina la Kijapan na kwenye WWII neno KAMIKAZE lilikuwa maarufu baada ya Askari wa Kijapan (KAMIKAZE) kujilipua The Pearl Harbour kitendo kilichoifanya Marekani kuingia vitani rasmi.
 
Back
Top Bottom