Mungu akusimamie mrembo urejee kwenye swiha njema.Kwakweli haikua rahisi sana kama nilivyokua nadhani,. Lakini naamini kwa uwezo wa Mungu na kwa maombi yenu lilipita salama,. Na ninaendelea vizuri kabisa,.
Ni upendo wa ajabu,. Maana sikua natarajia kama kuna wengine wangekuja kunitembelea Hospitali na Kuja kuniona nyumbani lakini walifika,,. Asante na wengine pia mliokua mnanipigia simu kunijulia hali kila siku,. Hakika nilijiskia kufarijika sana sana sana
Mwenyezi Mungu awalinde wote,. Na awabariki kwa upendo wenuβ€οΈπ
Mkuu kwanini huku nitaarifu sasaAllah ni mwema - nipo kwa mkapa nafatilia mashindano ya Quran
Acha kuwa na negativity Mzee kama haupendi nyamaza kuliko kuandika chuki hapqHivi kwanini msisubiri akatuma hiyo thread mwenyewe kuliko kushoboka namna hii?
Haiombwi hivyo bro
kwani huyo aliyandika nani yako?Duuh,.
Ishallah Allah akufanyie taufiq wewe naLazima niibuke mshindi
Mkuu kwanini huku nitaarifu sasa ?
SureMashallah,
Allah is Great.
mimi sio hater ila mtu mmoja nipo busy sana na business zangu, i wonder mpk unamuandikia mtu thread huo muda wakujua maisha ya mtu unaupata vipi?Achana na hater huyo ana ugomvi mpaka na moyo wake
Karibu sana tajiri kubwaKwakweli haikua rahisi sana kama nilivyokua nadhani,. Lakini naamini kwa uwezo wa Mungu na kwa maombi yenu lilipita salama,. Na ninaendelea vizuri kabisa,.
Ni upendo wa ajabu,. Maana sikua natarajia kama kuna wengine wangekuja kunitembelea Hospitali na Kuja kuniona nyumbani lakini walifika,,. Asante na wengine pia mliokua mnanipigia simu kunijulia hali kila siku,. Hakika nilijiskia kufarijika sana sana sana
Mwenyezi Mungu awalinde wote,. Na awabariki kwa upendo wenuβ€οΈπ
Madaktari na manesi waliomtibu na kumhudumia ndio wema sana.Mungu ni Mwema sanaππ½ππ½
ππkwani huyo aliyandika nani yako?