Ms Leejay is back

Ms Leejay is back

Kwakweli haikua rahisi sana kama nilivyokua nadhani,. Lakini naamini kwa uwezo wa Mungu na kwa maombi yenu lilipita salama,. Na ninaendelea vizuri kabisa,.

Ni upendo wa ajabu,. Maana sikua natarajia kama kuna wengine wangekuja kunitembelea Hospitali na Kuja kuniona nyumbani lakini walifika,,. Asante na wengine pia mliokua mnanipigia simu kunijulia hali kila siku,. Hakika nilijiskia kufarijika sana sana sana

Mwenyezi Mungu awalinde wote,. Na awabariki kwa upendo wenu❤️🙏
Mungu akusimamie mrembo urejee kwenye swiha njema.
 
Allah ni mwema - nipo kwa mkapa nafatilia mashindano ya Quran
Mkuu kwanini huku nitaarifu sasa
Hivi kwanini msisubiri akatuma hiyo thread mwenyewe kuliko kushoboka namna hii?

Haiombwi hivyo bro
Acha kuwa na negativity Mzee kama haupendi nyamaza kuliko kuandika chuki hapq
 
Kwakweli haikua rahisi sana kama nilivyokua nadhani,. Lakini naamini kwa uwezo wa Mungu na kwa maombi yenu lilipita salama,. Na ninaendelea vizuri kabisa,.

Ni upendo wa ajabu,. Maana sikua natarajia kama kuna wengine wangekuja kunitembelea Hospitali na Kuja kuniona nyumbani lakini walifika,,. Asante na wengine pia mliokua mnanipigia simu kunijulia hali kila siku,. Hakika nilijiskia kufarijika sana sana sana

Mwenyezi Mungu awalinde wote,. Na awabariki kwa upendo wenu❤️🙏
Karibu sana tajiri kubwa
 
Back
Top Bottom