Kwa utaalamu wangu na uzoefu wangu wa miaka 8 wa kuwatambua haters wewe siyo hater ila umesema ukweli, watu wengi wanashindwa kutofautisha chuki na kuambiwa ukwelimimi sio hater ila mtu mmoja nipo busy sana na business zangu, i wonder mpk unamuandikia mtu thread huo muda wakujua maisha ya mtu unaupata vipi?
Na naomba ujue tu, leo jumamosi , nainjoi weekend karibu.
Sasa sisi tungejuaje kua mleta mada yupo close sana na huyo aliye muanzishia Uzi?Hivi kwanini msisubiri akatuma hiyo thread mwenyewe kuliko kushoboka namna hii?
Haiombwi hivyo bro
Tajiri leejay alikua anaumwa na alituambia kwenye uzi alioufungua. Jana karudi anaendelea vizuri.ephen_ acha kunicheka,niambie huyo aliyekua anaumwa ni nani kwani?
Ila nampa pole sana japo ndio leo naiona hiyo ID yake.
Asante sana kwa maelezo,Tajiri leejay alikua anaumwa na alituambia kwenye uzi alioufungua. Jana karudi anaendelea vizuri.
Kuhusu mengine mimi naona wanaume mnazidi kupungua tu.
Mungu ni mkubwa wakati woteWasalaam rafiki na Members wote humu.
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza rafiki yetu na mpendwa wetu Ms Leejay49 amerudi na anasema amepona.
Nasema Alhamdullilah kwa maombi yenu na dua zenu, Mwenyezi Mungu ametenda na hatimaye tunaye tena hapa jukwaani.
#WelcomeBack Ms Leejay
🥳🥳🥳🥳
Yaani mtu akiwa mgeni mgeni jf anaweza jua lengo la mleta mada ni kutujulisha kweli kumbe ndiyo vile anaiomba kijanja ..Sasa sisi tungejuaje kua mleta mada yupo close sana na huyo aliye muanzishia Uzi?
Au Mkuu hujaelewa lengo la huu uzi ni nini hasa?
😀 😀
HahahahaTajiri leejay alikua anaumwa na alituambia kwenye uzi alioufungua. Jana karudi anaendelea vizuri.
Kuhusu mengine mimi naona wanaume mnazidi kupungua tu.
BICHWA KOMWE amesafiri kaenda KATAVI kikazi.