Ms Leejay is back

Ms Leejay is back

mimi sio hater ila mtu mmoja nipo busy sana na business zangu, i wonder mpk unamuandikia mtu thread huo muda wakujua maisha ya mtu unaupata vipi?
Na naomba ujue tu, leo jumamosi , nainjoi weekend karibu.
Kwa utaalamu wangu na uzoefu wangu wa miaka 8 wa kuwatambua haters wewe siyo hater ila umesema ukweli, watu wengi wanashindwa kutofautisha chuki na kuambiwa ukweli
 
 
Wasalaam rafiki na Members wote humu.
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza rafiki yetu na mpendwa wetu Ms Leejay49 amerudi na anasema amepona.
Nasema Alhamdullilah kwa maombi yenu na dua zenu, Mwenyezi Mungu ametenda na hatimaye tunaye tena hapa jukwaani.
#WelcomeBack Ms Leejay
🥳🥳🥳🥳
Mungu ni mkubwa wakati wote
 
MWENYEZI MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTE, ugua pole urudi katika ubora wako thabiti
 
Sasa sisi tungejuaje kua mleta mada yupo close sana na huyo aliye muanzishia Uzi?

Au Mkuu hujaelewa lengo la huu uzi ni nini hasa?

😀 😀
Yaani mtu akiwa mgeni mgeni jf anaweza jua lengo la mleta mada ni kutujulisha kweli kumbe ndiyo vile anaiomba kijanja ..

Code tushaijua mkuu .

Wamesema kashapona hata hivyo mimi mwenyewe simjui
 
Back
Top Bottom