mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
jukwaa lina malaki ya watu, sio kila mtu atasikilizwa na kupata hizi poleKuna wengine wakiji expose ndio huwa wanapona
Kila mtu ana nyota yake ya kuvutia watu.Ila tupunguze ukuda. Kama ni hivi iwe kwa kila member. Kuna jamaa alikuwa kiziwi na ni mwalimu akaja huku alipata support ya wachache mpaka akajiua
Duuuh,mbali sana huko...Leejay anaishi Songea na Hospital ambayo ina huduma nzuri ni ile ya Peramiho mission Hospital. 25KM kutoka Songea Mjini
Weeee Nyamwila255 weeee njoo hukuNitumie dawa kukuroga au ntumie nanilii Ile dah meisahau jina🤪🤪🤪
Mna mawasiliano?#UponeHarakaLeejay49❤️❤️❤️
Swali zuriMna mawasiliano?