Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Ila tupunguze ukuda. Kama ni hivi iwe kwa kila member. Kuna jamaa alikuwa kiziwi na ni mwalimu akaja huku alipata support ya wachache mpaka akajiua
Kila mtu ana nyota yake ya kuvutia watu.
Ana vuta marafiki kuendana na hii nguvu ya nyota yake.
Inategemea na jinsi unavyo jichanganya na kujieleza.
 
Back
Top Bottom