Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Nina staff mwenzangu anasumbuliwa na Cataract kwa miaka kama 7 sasa, jicho moja limeshaenda na maji, na lingine anaona hafifu, juzi kafanyiwa operation ndiyo limezidi kutoona.

Kimsingi ni anaenda kuwa kipofu huku anajiona.


Anyway, Mungu amjalie apone huyu mwana jf.
 
Back
Top Bottom