Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
hahahaaa imebid nicheke. Me nilikuwa na peruzi kama mgeni kwa miaka mingi nikaona nijiunge tu niwe memberNiliingia nikiwa mdogo sana humu, na ni my Dad ndiyo alinijulisha kuhusu JF. Nikajiunga, nikasahau user ID 😃😃😃 nikaja na hii miaka hiyo.