DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sperm au Spam?Maswali wanayouliza wadau hapa inaonekana wazi tuna uhaba wa watalaamu wa mambo ya Internet na IT Kwa ujumla wake .
Mimi situmii hizo simu mmetaja hapo juu
Sina ma group wala charts za hapa na pale Ila nimepewa ban na sababu inayotajwa ni sperm
Ebu rudia kusoma ulichoandikaSpam au Spam?
Shida n simu, hasa watu wanaotumia simu mtumba za kizungu. Mfano watu wanaotumia ViVo zenye android chin ya 8 na hata zaid ya hapo wanakutana na hii changamoto, google pixel, oppo nk. Simu za jamii hiyo nyingi zinatabia hiyoSio kupakua tu app Bali hii simu nayotumia ni ya tatu. Kila nikibadirisha simu wanafunga Acc na tatizo ni Hilo Hilo. Sielewi nifanyaje
Sema wewe ndiye mwenye mrengo potofu.Ila maneno ya kiswahili bhana! Eti 'kuipakua'
Dada ephen_ 🤔Ila maneno ya kiswahili bhana! Eti 'kuipakua'
Sema ni simu ipi unatumia?Maswali wanayouliza wadau hapa inaonekana wazi tuna uhaba wa watalaamu wa mambo ya Internet na IT Kwa ujumla wake .
Mimi situmii hizo simu mmetaja hapo juu
Sina ma group wala charts za hapa na pale Ila nimepewa ban na sababu inayotajwa ni spam.
Mrs Besyige .... Mzee wetu Besigye anaendeleaje huko jamani?? Wajukuu tunaulizia maendeleo yake na afya yake kwa ujumla... 🙂NoReformNoElection☺️
Unazingua ban haina uhusiano na simu acheni uongoSema ni simu ipi unatumia?
Yuko mzima hubby wangu...mumuombee tuMrs Besyige .... Mzee wetu Besigye anaendeleaje huko jamani?? Wajukuu tunaulizia maendeleo yake na afya yake kwa ujumla... 🙂
Can't you sue them??Guys,....😒😒🤔🤔