Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

Maswali wanayouliza wadau hapa inaonekana wazi tuna uhaba wa watalaamu wa mambo ya Internet na IT Kwa ujumla wake .

Mimi situmii hizo simu mmetaja hapo juu

Sina ma group wala charts za hapa na pale Ila nimepewa ban na sababu inayotajwa ni spam.
 
Maswali wanayouliza wadau hapa inaonekana wazi tuna uhaba wa watalaamu wa mambo ya Internet na IT Kwa ujumla wake .

Mimi situmii hizo simu mmetaja hapo juu

Sina ma group wala charts za hapa na pale Ila nimepewa ban na sababu inayotajwa ni sperm
Sperm au Spam?
 
Whatsapp wanasheria ambayo kama simu ilitumika vibaya mfano kuroot,kudownload mawhatsapp GB na mengine basi kuna mawili namba kupigwa ban au simu kupigwa ban
 
Sio kupakua tu app Bali hii simu nayotumia ni ya tatu. Kila nikibadirisha simu wanafunga Acc na tatizo ni Hilo Hilo. Sielewi nifanyaje
Shida n simu, hasa watu wanaotumia simu mtumba za kizungu. Mfano watu wanaotumia ViVo zenye android chin ya 8 na hata zaid ya hapo wanakutana na hii changamoto, google pixel, oppo nk. Simu za jamii hiyo nyingi zinatabia hiyo
 
Umeruhusu external sources wahuni wamepata chance

Epuka kujiunga na links za mtndaon hasa magroup ya wasap
 
Maswali wanayouliza wadau hapa inaonekana wazi tuna uhaba wa watalaamu wa mambo ya Internet na IT Kwa ujumla wake .

Mimi situmii hizo simu mmetaja hapo juu

Sina ma group wala charts za hapa na pale Ila nimepewa ban na sababu inayotajwa ni spam.
Sema ni simu ipi unatumia?
 
Ukifanikiwa utauwa Whatsup hata mie inatusumbua
IMG_20250302_095214.jpg
 
Kama umewahi kutumia bidhaa za Vivo , oppo ndio matokeoa yake hayo.
 
Tatizo lako nahisi ni kwenye simu unazotumia kwanza itakuwa ni simu used from bara la asia kwahy ulivyonunua cm haujairisit kwasabab kuna baadh ya simu nying za asia zimefungiwa katika utumiaji wa baadh ya app ukidowload hazifanyi kazi kutokana nch nyingn hazitumi hiyo app kwahy mm nahis tatizo n cm zak tena km hiyo aqous huyo ni full mchina kabisa app nying san zipo ban
 
Back
Top Bottom