Msaaada wa kiafya: Maumivu makali wakati wa period

Msaaada wa kiafya: Maumivu makali wakati wa period

TZ ME

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
77
Reaction score
61
Habari wana jf,

Nahitaj msaada wa kitaalamu mi kijana nna umri miaka 26 nna girlfrnd wangu ana miaka 21 tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu sasa ila kuna tatizo analo mpnz wangu huyo.

Akifikia period huwa anaumwa sana tumbo na huwa znamtoka damu nyng sana wakati flani anapoteza nguvu kabisa period yake huwa inamchukua siku saba (japo kwamfumo wa afya ya uzazi ni sahihi) hata hivyo mpenzi wangu huyu tunapokutana anapata maumivu tukirudia tendo la ndoa mara ya pili na zaidi maana awamu ya pili huwa mkavu kabisa majimaji hayatoki na damu humtoka huku akilalamikia maumivu tukiwa pamoja.

Inafkia wakati shuka au matulo huwa vinachafuka sana hasa kama kiu haijatuishia tukirudia kufanya mapenzi,pls wanajukwaa naombeni msaada wa kitaalamu wala tusichangie kwa kebehi na matusi.
 
Ok tatizo dogo sana la msingi nitafute upate doz ya mayai.ya kwale then utaniambia mkuu 0712691155 trey kwa dose ni 13000
 
Ok tatizo dogo sana la msingi nitafute upate doz ya mayai.ya kwale then utaniambia mkuu 0712691155 trey kwa dose ni 13000

Naona unachangamkia tenda bila kumjibu tatizo analotaka kulifahamu.
 
aende hospital tu akamuone specialist wa kina mama,,,achana na huyo doctor year ana garama sana,,,,
 
Habari wana jf,nahitaj msaada wa kitaalamu mi kijana nna umri miaka 26 nna girlfrnd wangu ana miaka 21 tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu sasa ila kuna tatizo analo mpnz wangu huyo,akifikia period huwa anaumwa sana tumbo na huwa znamtoka damu nyng sana wakati flani anapoteza nguvu kabisa period yake huwa inamchukua siku saba (japo kwamfumo wa afya ya uzazi ni sahihi) hata hivyo mpenzi wangu huyu tunapokutana anapata maumivu tukirudia tendo la ndoa mara ya pili na zaidi maana awamu ya pili huwa mkavu kabisa majimaji hayatoki na damu humtoka huku akilalamikia maumivu tukiwa pamoja; inafkia wakati shuka au matulo huwa vinachafuka sana hasa kama kiu haijatuishia tukirudia kufanya mapenzi,pls wanajukwaa naombeni msaada wa kitaalamu wala tusichangie kwa kebehi na matusi.

Mkuu tatizo lako limeshawahi kujadiliwa humu na pia c jambo la kushangaza ila ni tofaut tu ya kimaumbile hvy mkuu ningeomba utafute kmhumu humu ningekuw namkumbuka mtoa mada ile ningekudirect ila sory nmemsahau lkn jaribu kutafuta na utapata ufumbuzi wa tatzo lko ...Nadhan itakuw vyema ukifanya hvy Asante
 
Mpe mimba tu.. hutasikia tena hilo tatizo.. hiyo ndo tiba mbadala
 
Back
Top Bottom