Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa...mi nilinunua dukani kwao....Unaweza ukachongesha?
Huwez chongeshaUnaweza ukachongesha?
Naona wamepunguza, Mb ni 70145 mins airtel-airtel, 5 mins to all networks 1GB, 1000sms
Aitel mbona wapo vizuri nunua vocha zile unajiunga popote,mi huwa nanunua ya elfu sita napata GB4,dakika 450 Airtel kwenda Airtel na dakika Kama 25 hivi kwenda mitandao yote kwa mwezi mzima.Airtel punguzeni kuwaibia wateja wenu, nimekuwa kila nikiongeza salio la sh 1,000 nikitaka kujiunga na kifurushi cha mb 400 naambiwa salio halitoshi nikcheki salio nakuta sh 943/- nimepiga customer care wananiambia eti wakati wakujiunga data ilikuwa on..shubaaa miti hiyo data ipo on wewe ndio uliewasha na hii sio mara moja, Airtel acheni wizi bana
ni special kwa wanafunzi wa vyuoni tu,,tatizo watanzania tunapenda kudandia tuu!
Aitel mbona wapo vizuri nunua vocha zile unajiunga popote,mi huwa nanunua ya elfu sita napata GB4,dakika 450 Airtel kwenda Airtel na dakika Kama 25 hivi kwenda mitandao yote kwa mwezi mzima.
Naona wamepunguza, Mb ni 70
Shilingi ngapi mkuu?Anaeitaj laini yake ya Tigo iwe ya Chuo nipigie!0659202222 Nabadilisha Dk2 inakuwa Tayar
mkuu hapo kwenye GB hapo nahisi ni cha miaka ile kabla ya baba jeni, now ni 750MB145 mins airtel-airtel, 5 mins to all networks 1GB, 1000sms