Jonatus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2013
- 1,403
- 379
voda wana bundle ya university kwa wiki? kama airtel na tigo.
hapana ni ya siku tu na ni tsh 500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
voda wana bundle ya university kwa wiki? kama airtel na tigo.
daah sie tusiokaa karibu na vyuo tunakomaa tu na mb 8....not fair though.
daah sie tusiokaa karibu na vyuo tunakomaa tu na mb 8....not fair though.
daah sie tusiokaa karibu na vyuo tunakomaa tu na mb 8....not fair though.
voda pia wanayo ni *149*02# unapata dk 50, mb 500 na sms 500
Hiki ni kifurushi kwa siku au kwa wiki
kifurushi cha wiki cha uni255 kimepewa 70mb
kifurushi cha wiki cha uni255 kimepewa 70mb
Sanple ya Vocha hizo hapo unapata 2GB 100 mins airtel to airtel 10 mins mitandao yote in 3 days. Ukijiunga ndani ya saa mbili baada ya kifurushi kuisha dakika kifurushi kipys kinajiongeza kwenye kilichoisha kama ulibakisha 60 mins halafu muda ukaisha utakuwa na 160 mins
Hamia zantel
saa hivi hizo ukijiunga unapata 70mb
Mkuu hizi vocha zinapatikana maeneo ganiii haswa??Sanple ya Vocha hizo hapo unapata 2GB 100 mins airtel to airtel 10 mins mitandao yote in 3 days. Ukijiunga ndani ya saa mbili baada ya kifurushi kuisha dakika kifurushi kipys kinajiongeza kwenye kilichoisha kama ulibakisha 60 mins halafu muda ukaisha utakuwa na 160 mins