Msaada: Airtel University offer

Izo University bundle zinapatikana wapi?
 
Airtel punguzeni kuwaibia wateja wenu, nimekuwa kila nikiongeza salio la sh 1,000 nikitaka kujiunga na kifurushi cha mb 400 naambiwa salio halitoshi nikcheki salio nakuta sh 943/- nimepiga customer care wananiambia eti wakati wakujiunga data ilikuwa on..shubaaa miti hiyo data ipo on wewe ndio uliewasha na hii sio mara moja, Airtel acheni wizi bana
 
Mimi nilijiiunga na kifurushi cha Tshs 500. Nikajiunga kucheki awajaniunga ninapiga kumbe pesa inatembea, Airtel kuweni makini kama biashara mnashindana, shindaneni kwa fairy
 
Aitel mbona wapo vizuri nunua vocha zile unajiunga popote,mi huwa nanunua ya elfu sita napata GB4,dakika 450 Airtel kwenda Airtel na dakika Kama 25 hivi kwenda mitandao yote kwa mwezi mzima.
ni special kwa wanafunzi wa vyuoni tu,,tatizo watanzania tunapenda kudandia tuu!
 
Aitel mbona wapo vizuri nunua vocha zile unajiunga popote,mi huwa nanunua ya elfu sita napata GB4,dakika 450 Airtel kwenda Airtel na dakika Kama 25 hivi kwenda mitandao yote kwa mwezi mzima.

Haina tofauti na voda sasa.
Voda 1500 kwa week unapata 1GB +1GB ya usiku tu....
Kwahiyo kwa mwezi mmoja (week nne) 6000 unapata 4GB + 4GB za usiku tuu...
 
Anaeitaj laini yake ya Tigo iwe ya Chuo nipigie!0659202222 Nabadilisha Dk2 inakuwa Tayar
 
Anaeitaj laini yake ya Tigo iwe ya Chuo nipigie!0659202222 Nabadilisha Dk2 inakuwa Tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…