Msaada ajali ya goti

Msaada ajali ya goti

under the same sun

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
160
Reaction score
37
Habari wana jf nawaombeni ushauri ndugu yangu amepata ajali ya pikipiki na bahati mbaya kwenye goti amepasuka vipande viwili vya ndani (knel cap) kwa mujibu wa x-ray, yaani kwenye ajali alipiga goti lake na kusababisha kile kama yai kati kati ya mguu ukiunyoosha gotini kupasuka na kuwa vipande viwili,kimoja juu kingine chini japo hakuchanika ni ndani kwa ndani; naombeni ushauri wenu tiba ipi ni sawa kwake ili arejee kama alivyokuwa? asante!
 
Mwambie awahi hospitali ya rufaa aonane na madaktari bingwa.Me siyo daktari lakini kuna jamaa mmoja nilishuhudia ameumia hapo alipona lakini goti halikunjiki kabisa.Mguu umenyooka kama ubao.
 
Back
Top Bottom