under the same sun
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 160
- 37
Habari wana jf nawaombeni ushauri ndugu yangu amepata ajali ya pikipiki na bahati mbaya kwenye goti amepasuka vipande viwili vya ndani (knel cap) kwa mujibu wa x-ray, yaani kwenye ajali alipiga goti lake na kusababisha kile kama yai kati kati ya mguu ukiunyoosha gotini kupasuka na kuwa vipande viwili,kimoja juu kingine chini japo hakuchanika ni ndani kwa ndani; naombeni ushauri wenu tiba ipi ni sawa kwake ili arejee kama alivyokuwa? asante!