Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
tumeandikishiana.... Mwenyekiti wa mtaa but hataki kuja mahakamani anasema ana mambo yakeHamkuandikishana hatakwa balozi?
Aje Mahakamani wakati yeye kashirikiana na Matapeli!??tumeandikishiana.... Mwenyekiti wa mtaa but hataki kuja mahakamani anasema ana mambo yake
yote ipo kaka... sema hakimu ndio hataki anataka shaidi wanguSerikali za mitaa hawana mihuri?
Shahidi ni mihuri ya serikali za mitaa,pili mwenyekiti na tatu mtumie nauli shahidi wako aje ila ukishinda kesi muuzaji wa kiwanja akulipe gharama.yote ipo kaka... sema hakimu ndio hataki anataka shaidi wangu
Chukua summons ya kumlazimisha afike mahakamani! (subpoena)tumeandikishiana.... Mwenyekiti wa mtaa but hataki kuja mahakamani anasema ana mambo yake
Achukue summons na kumpelekea, akikataaa pawepo na ushahidi ili arudishe ktk Baraza nadhani watatoa arrest warrantChukua summons ya kumlazimisha afike mahakamani! (subpoena)
Iweke hadharani kwa faida ya wanajf woteHayo ni sawa na mambo ya wilaya moja mkoa wa Pwani. Unauziwa kiwanja feki, mwenye kiwanja ni feki, mwenyekiti wa serikali ya mtaa feki, na wakati wa mauziano unaletewa na wazazi wa muuzaji ambao nao ni feki. Pole mkuu!