Heater
Senior Member
- May 28, 2019
- 168
- 350
Nimefanya kazi kwa miaka 7, hatimaye kibarua kimefika tamati.
Mwezi uliopita nikaenda ofisi za Mafao - Ubungo Plaza nikaambiwa niwasilishe madai lakini hawajapewa muongozo toka juu kuhusu kulipa watu ambao ni Expert.
Hivyo madai yangu yatapokelewa na kuwekwa pending mpaka pale muongozo utakapotolewa toka juu.
Akili yangu haijawa vizuri mpaka hivi sasa, kwa yoyote ambae ana sifa zinazofanana na zangu lakini amefanikiwa kwa hii miezi minne au mitatu, tafadhali naomba msaada.