MSAADA - ambaye ameshadeal na kuachwa na ndege / “no show” na Turkish airlines anisaidie

Naepuka cost,lini safari yake nimletee hapo airport,ni kdg tuu nimefunga vzr anaweza ata weka Kwa MKoba ake km n ke,au kwenye bag km ni me,
Parcel? Humjui hakujui umbebeshe parcel? Mruhusu afungue kwanza aone umeweka nini.
 
Pole babu kwa shughuli za shamba, nafurahi umefika.

Nashukuru tumefanikiwa kupata ufumbuzi na tatizo limekua resolved.

Next time atakua makini zaidi, amejifunza kwenye makosa.
Barikiwa sana 🙏🙏🙏

Mwambie Mjukuu aniletee zawadi ya Kiko kutoka Uturuki 🤗
 
Parcel? Humjui hakujui umbebeshe parcel? Mruhusu afungue kwanza aone umeweka ni

Parcel? Humjui hakujui umbebeshe parcel? Mruhusu afungue kwanza aone umeweka nini.
Lazima tufingue pamoja Kwa usalama wake na wangu,gift ndogo tuu nampelekea rafiki yangu wa Istanbul,
Lkn pia kua na amani dear km haiwezekan basi au moyo wake imesita,nitatuma Kwa kuulipia tuu
 
Kama data za passport ndio hio watu 900k tu ndio wanazo basi utakuwa sahihi. Tuna safari ndefu.
 
Hiyo ya saa 6 na dk kadhaa usiku imewachanganya wengi!
 
Piga kwa ofis zao.watampa invoice ya kulipa hiyo no show na kupata ndege nyingine.
 
Manyanza, Kalpana, Binti wa zamani, Evelyn Salt nipeni tafsiri nisikose huu mchongo.

Manyanza, Kalpana, Binti wa zamani, Evelyn Salt nipeni tafsiri nisikose huu mchongo.
Intelligent businessman

Nilienda kutafuta wanawake wawili wa kizungu walikuwa wanene wana matako makubwa Melissa na Maggie. Melissa nilimzalisha mtoto wa Kike, hivi sasa katoto kana miaka 23 na kama Unataka kumuoa Lete ng'ombe tu Kijana nikuozeshe ni kabinti kazuri sana

Tafsiri hiyo
 
No show kwa gharama za nani? Wewe ungeweza
Majibu mbona yako clear kwenye attachment juu. Nyie ndiyo mnasumbua kwenye sgr na no show zenu.
 
Shukrani mkuu, nkoi Shimba ya Buyenze naliza nene.
 
Hii shida yote ya nini? Si utumie njia za kawaida za utumaji mizigo midogo. Dunia ya sasa ni zumbukuku tu atabeba mizigo ya mtu asiemjua kupanda nayo ndege au njia nyingine za usafiri.
Sawa
 
😂😂😂 Kijana Unataka ukalipe ng'ombe 15 uchukue chotara? Kwanini hizo ng'ombe 15 usianzishe hata biashara ya butcher halafu ukijipata nenda Mbulu kachukue mtoto wa Kihabeshi asiye na mambo mengi?
mkuu great grandfather wetu ali kuwa chief, babu yangu alikuwa chief pia kama ni ng'ombe nili pewa since nime graduate class 7.

Walikuwa 13 enzi hizo, sija uza zaidi ya kuchinja wawili ili tusuuze tumbo, walio zaa na kuongezwa kwa pesa wapo pia.

Kingine heshima yangu kwa Shimba ya Buyenze ni kubwa, ng'ombe 15 si kitu😊🦅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…