Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹Mamie na machungu umenichekeshaje 😂 😂
Hapa nimemaliza kupiga simu naambiwa tofauti ya bei ya tiketi inayobidi iongezwe $1,700 na penalty dola 100, nimechoka 😂nikamkumbuka boda wangu tuliyewahi kukimbiza naye Kimbinyiko mpaka kibaha.
Pole sana babes
Mimi katika vitu niko makini navyo hapa duniani pipa na ATM yani huwa natulia uchizi naweka pembeni..!!
Hapo kwa boda na kimbinyiko sasa wig halikutoka? 😹
