Hizo ni msg za (DCB) Direct Carrier Billing ni njia ya kufanya malipo moja kwa moja kupitia account/balance yako ya simu, so hapo kuna kitu kinataka kula balance yako.
So kutakuwa kuna malware umeinstall kwa chance kubwa, kama umeinstall app yoyote ambayo haijatoka playstore yaani umetumia apk ifute, pia chunguza permissions kwenye settings za simu kama kuna app ambayo ina sms permission ambayo sio app ya sms.
Chunguza play store kama umefanya subscription ya aina yoyote.
Kama yote yakishindikana jaribu reset ya simu.