Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na idea hizi code zimeenda 15711 kwa ajili ya nini.? Nimelazimika ku crop screenshot sije nikawa nna expose details zaidi